1; Alishawahi kushiriki kwa siri, na kuwa mshindi wa 3 kwenye
mashindano ya kumtafuta mtu aliyekuwa anafanana na yeye
mwenywe 'CHAPLIN LOOK-A-LIKE"
2; Alishawahi kuwa tajiri kumshinda Rais wa USA kwa kipindi
hicho, Rias akiwa analipwa $75,000 kwa mwaka, na Chaplin
akiwa anaingiza 670,000 kwa mwaka
3: Chaplin ndiye mchekeshaji wa kwanza kuandikwa na jarida
maarufu la TIME MAGAZINE