🖋️ [01]
" Kuna hali mbili tu, ama unampenda kweli au la humpendi kabisa, hakuna chaguo la hali nyingine tofauti ya tatu, vinginevyo ni suala tu la jinsi gani kwa kawaida, kidogo au sana moja kati ya hali hizo mbili pekee ilivyo "
🖋️[02]
"Kwa kawaida watu wengi karibu wote wameshawahi kupenda lakini sio kila mtu ameshawahi kupendwa, wengi hawajawahi kupendwa bado, huwa una uhakika kuwa unampenda fulani lakini huna hakika kuwa fulani anakupenda, pia mmoja huweza kupenda wengi zaidi ya wale wanaompenda "
Tags
Quotes