A girl of my dream ...


"Nikiangalia kwenye mkusanyiko wa watu nanusa harufu yako ,
Msichana wa ndoto zangu naomba uwe mgeni kwangu ,
Nitakulinda kama vile ndege alindapo kiota chake ,
Tuwe pamoja na tusahau maumivu tuliyopitia huko nyuma ,
Kama bado unajifikiria kukubali ombi langu nitakusubiri na kuwa mvumilivu kama ngamia akiwa jangwani ,
Ni wewe unayesoma hili shairi langu sasa hivi ."
( 🖊 Luqman Kisokora )

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form