Tamthilia ya kituruki ya DiriliÅŸ ErtuÄŸrul ni moja ya Tamthilia bora za muda wote duniani, imeingizwa katika kitabu cha maajabu ya dunia (World Book of Guinness) ikiwa na zaidi ya watazamaji Billioni 3 duniani kote huku ikitafasiriwa (Dubbing) katika lugha tofauti zaidi ya 39, na mara nyingi huwa ina shindanishwa na tamthilia nyingine bora duniani ya Game of Thrones ( 🖋️ Hashim Seki )
Tunaipataje hiyo DiriliÅŸ ErtuÄŸrul?
ReplyDeleteIngia site ya movie ya Swahili Epic
Delete