EDUARDO CAMAVINGA aliupiga mpira mwingi dhidi ya ATHLETICO MADRID katika mechi ya ROBO FAINALI kombe la COPA DEL REY mnamo jana tarehe 26 . 01 . 2023 , Ambapo Madrid walishinda 3 - 1 comeback .ATLETICO walianza kupata goli kupitia MORATA ( 19 ) Na REAL walifanya comeback kupitia kwa RODRYGO ( 79 ) , BENZEMA ( 104 ) , VINI JR ( 120+1 ) .
CAMAVINGA amekuwa MCHEZAJI BORA WA MECHI HIYO ( MOTM ) .
WATCH VIDEO BELOW ⬇️
Tags
Sports