DRAGON kwa wale wapenzi wa movies watakua wanamfahamu sana mnyama huyu.Katika movies kama game of Throne,Merlin n.k ameelezwa vizuri.Ipo siri nzito inayo muhusu Dragon.Ukimtazama Dragon kwa umakini sana na kisha ukafanya tathmini ya kumtoa mabawa na miguu,kwenye ufahamu wako wa akili utapata taswira ya kiumbe flani.Umegundua nini? Kama upo makini nadhani utakua umepata taswira ya nyoka mkuuuubwa!!.Dragon ni nyoka isipokua nyoka huyu anamabawa na anatema moto.
Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni miaka 6120 imepita.Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi ya mwanadamu na walitoweka miaka mingi kabla ya mwanadamu wa kwanza kuletwa duniani.Ndio ujiulize binadamu kamjuaje? na vipi awe nyoka mwenye mabawa na miguu na kisha ateme moto.Ukristo ulipoingia miaka kama 2000 iliyopita uliwakataza watu kuamini uwepo wa dragon kwani unawakilisha shetani. Kuna siri nzito ninayo ifahamu kuhusu Dragon ambayo ninataka kuwasimulia. (🖋️ Yusuph Moshi)