Huko zamani sana mwaka 1551 aliishi mtabiri mmoja mzee wa kifaransa mwenye asili ya kiyahudi jina lake aliitwa MICHEL NOSTRADAMUS ambae alikuwa ni mwandishi wa mashairi tena yalikuwa ni mashairi ya ajabu sana ambayo yaliweza kutabiri mambo mengi yatakayokuja kutokea baadae.Kitabu chake maarafu zaidi cha mashairi hayo ya ajabu kiliitwa LES PROPHETIES ambacho kilikuwa na jumla ya mashairi 942 na yote hayo yalikuwa yakitabiri mambo mengi yatakayokuja kutokea baadae,lakini kubwa na la ajabu zaidi alilowahi kulitabiri miaka 500 iliyopita ni ujio wa ugonjwa hatari wa Corona,Nostrademus aliandika...
👇
📌THERE WILL BE A TWIN YEAR
"Utakuja mwaka pacha"
Yaani mwaka 2020 ambao una ishirini ishirini mbili zinazofuatana.
📌FROM WHICH WILL ARISE A QUEEN
"Ambapo ataibuka malkia"
Yaani Corona ambalo ni neno linalotokana na lugha ya kilatini linalomaanisha Queen/Malkia.
📌WHO WILL COME FROM THE EAST
"Malkia huyo atatokea upande wa mashariki"
Yaani atatokea China ambayo katika jiografia ya dunia ipo katika upande wa mashariki.
📌AND WHO WILL SPREAD A PLAGUE IN THE DARKNESS OF NIGHT
"Na malkia huyo atasababisha gonjwa la mlipuko kwenye kiza kinene"
Yaani kwenye kiza kinene ambacho Mungu atatunyima maarifa ya kuweza kupata dawa ya ugonjwa huo.
📌ON A COUNTRY WITH SEVEN HILLS
"Juu ya nchi yenye milima saba"
Yaani nchi ya Italy ambayo ndio nchi yenye milima saba na ni nchi iliyoshambuliwa sana na maambukizi ya Corona.
📌AND WILL TRANSFORM THE TWILIGHT OF MEN INTO DUST
"Na mlipuko huo utapelekea vifo vingi miongoni mwa wanaadam"
📌TO DESTROY AND RUIN THE WORLD
"Na dunia itaharibiwa na kuangamia"
📌IT WILL BE THE END OF THE WORLD ECONOMY AS YOU KNOW IT
"Na hapo ndipo litakuwa anguko kubwa la kiuchumi kama mjuavyo"
NB:Kwa hakika kwenye vitabu yapo mambo mengi sana ambayo wengi hatuyajui kwa kuwa sio wasomaji wazuri.
Voice Over: 🗣️ @jamal_april (Profesor)
Editor: 🎞️🖋️@hashim_seki