Orodha Ya Series ( Tv Show ) Bora Za Karne Ya 21

Vigezo vilivyotumika kupata orodha hiyo ni kuwa BBC walichagua orodha ya wataalamu 206 wa series ( TV shows ) kutoka kwenye nchi 43 duniani . Ambapo 52 walitokea Uingereza na 29 kutoka Marekani huku 125 waliobaki walitoka nchi nyingine .

Wataalamu hao walipewa kazi ya kupanga series 10 bora kwa maoni yao kuanzia January 2000 mpaka July 2021 .
1 . Kila mtaalamu alitakiwa atoe orodha yake ya series 10 bora baina ya kipindi hicho ( 2000 - 2021 ) .
2 . Kila series iliyokuwa ya 1 kwa Mtaalamu mmoja ilipewa alama 10 na ya 10 ilipewa  alama 1 .

Baadaye walijumlisha alama za kila series kutoka kwa wataalamu hao na ile yenye alama nyingi ilipangwa juu ya ile yenye alama ndogo na kupatikana kwa orodha hiyo .

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form