Jinsi Ya Kusave Namba Za Watu Wako Muhimu Ili Wajulishwe Pindi Unapopata Tatizo Bila Ya Kutoa Password Ya Simu Yako

Wahenga wanasema hakuna ajuaye kesho yake ....
Je vipi ikitokea umepata tatizo [ mfano , ajali ] au umepoteza fahamu halafu simu yako ina password na watu wako wa karibu inabidi wajulishwe ...
Basi fanya njia hii rahisi ambayo itawezesha watu wako wa karibu kujulishwa kuhusu hali yako unapopata tatizo ukiwa hujitambui kwa kutumia simu yako bila ya kutoa password yako ...

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form