Zifuatazo ni hatua za kupakua au kudownload video yeyote kutoka kwenye mitandao Ya kijamii kama vile Instagram , Twitter , YouTube , Facebook , Tiktok n.k .
Njia hii inatumia kanuni moja kubwa ambayo ni kucopy link kwenye video yako [ kwenye social media yoyote lazima kuwa na sehemu ya kushare video , ambapo utatakiwa kucopy link ya hiyo video yako ] na kisha kufuata hatua zifuatazo ambapo tumetumia YouTube kama mfano ;
Hatua Ya Kwanza |
Hatua Ya Pili |
Hatua Ya Tatu |
Hatua Ya Nne |
Hatua Ya Tano |
Hatua Ya Sita |
Hatua Ya Mwisho . |