Mohammed Salah [ 30 ] anaingia kwenye historia ya kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi kwa kutumia mguu wa kushoto ( left foot ) kwenye historia ya ligi kuu nchini Uingereza [ EPL ] akipiku magoli 105 ya mguu wa kushoto yaliyofungwa na gwiji la Liverpool Robin Fowler .
Salah ameweka rekodi hiyo kwenye ushindi wa mabao 6 - 1 walioshinda Liverpool dhidi ya Leeds United mnamo tarehe 17 . 04 . 2023 ambapo amefunga magoli mawili .
Mmisri huyo amefunga magoli jumla ya 135 na assist 54 kwenye mechi 223 alizocheza ndani ya EPL huku magoli 107 akifunga kwa mguu wa kushoto
Tags
Sports