Orodha ya wanamichezo 10 wanaoingiza pesa zaidi duniani kwa mwaka 2023 imetoka huku Cristiano Ronaldo akiongoza kwenye orodha hiyo . Orodha hiyo imezingatia mapato walikusanya wanamichezo [ mshahara , matangazo pamoja na biashara nyingine nje ya Uwanja] baina ya tarehe 01 . 05 . 2022 mpaka 01 . 05 .2023
1 . Cristiano Ronaldo [ 38 ]
Mchezo : Football
Jumla Ya Mapato : $136M [ Bilioni 320. 28 ]
Ndani Ya Uwanja : $46M [ Bilioni 108.3 ]
Nje Ya Uwanja. : $90M [ Bilioni 211.95 ]
2 . Lionel Messi [ 35 ]
Mchezo : Football
Jumla Ya Mapato : $130M [ Bilioni 306.15 ]
Ndani Ya Uwanja : $65M [ Bilioni 153.08 ]
Nje Ya Uwanja. : $65M [ Bilioni 153.08 ]
3 . Kylian Mbappé [ 24 ]
Mchezo : Football
Jumla Ya Mapato : $120M [ Bilioni 282.6 ]
Ndani Ya Uwanja : $100M [ Bilioni 235.5 ]
Nje Ya Uwanja. : $20M [ Bilioni 47.1 ]
4. LeBron James [ 38 ]
Mchezo : Basketball
Jumla Ya Mapato : $119.5M [ Bilioni 281.42 ]
Ndani Ya Uwanja : $44..5M [ Bilioni 104.80 ]
Nje Ya Uwanja. : $75M [ Bilioni 176.63 ]
5 . Canelo Álvarez [ 32 ]
Mchezo : Boxing
Jumla Ya Mapato : $110M [ Bilioni 259.05 ]
Ndani Ya Uwanja : $100M [ Bilioni 235.5 ]
Nje Ya Uwanja. : $10M [ Bilioni 23.55 ]
6 . Dustin Johnson [ 38 ]
Mchezo : Golf
Jumla Ya Mapato : $107M [ Bilioni 251.99 ]
Ndani Ya Uwanja : $102M [ Bilioni 240.21 ]
Nje Ya Uwanja. : $5M [ Bilioni 11.78 ]
7 . Phil Mickelson [ 52 ]
Mchezo : Golf
Jumla Ya Mapato : $106M [ Bilioni 249.63 ]
Ndani Ya Uwanja : $104M [ Bilioni 244.92 ]
Nje Ya Uwanja. : $2M [ Bilioni 4.71 ]
8 . Stephen Curry [ 35 ]
Mchezo : Basketball
Jumla Ya Mapato : $100.4M [ Bilioni 235.5 ]
Ndani Ya Uwanja : $48.4M [ Bilioni 113.98 ]
Nje Ya Uwanja. : $52M [ Bilioni 122.46 ]
9 . Roger Federer [ 41 ]
Mchezo : Tennis
Jumla Ya Mapato : $95.1M [ Bilioni 223.96 ]
Ndani Ya Uwanja : $0.1M [ Milioni 235.5 ]
Nje Ya Uwanja. : $95M [ Bilioni 223.73 ]
10 . Kevin Durant [ 34 ]
Mchezo : Basketball
Jumla Ya Mapato : $89.1M [ Bilioni 209.83 ]
Ndani Ya Uwanja : $44.1M [ Bilioni 103.86 ]
Nje Ya Uwanja. : $45M [ Bilioni 105.98 ]
Source : Forbes