Filamu ya Wakanda Forever (Black Penther 2) itaachiwa rasmi mnamo Tarehe 01 . 02 . 2023 kwenye tovuti za kidijitali ( digital platforms ), Hivyo itaanza kupatikana kwenye tovuti mbalimbali za kupakua na kuangalia filamu kuanzia Tarehe hiyo. Movie hiyo kwa sasa inaoneshwa kwenye kumbi za sinema pekee (Theatres) toka tarehe 11 . 11 . 2022 na mpaka sasa imeingiza zaidi ya Shilingi za kitanzania Trilioni 1.96 ( 🖋️ Luqman Kisokora)
Tags
Movies