IFAHAMU KAROTI YENYE KILO 10


Karoti kubwa na nzito kuliko zote duniani ina jumla ya Kilogramu 10.17 Na ililimwa na CHRISTOPHER QUALLEY huko MAREKANI .
Na Inashirikiria rekodi hiyo kuanzia mwaka 2017 mpaka sasa  .
Christopher anasema vitu vinne ambavyo vimemsaidia kuweza kulima karoti hiyo kubwa duniani ni udongo bora , mbegu bora , hali ya hewa pamoja na bahati iliyokuwa upande wake . ( 🖊 Luqman Kisokora )

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form