HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE TATTOO NYINGI ZAIDI DUNIANI



CHARLOTTE GUTTENBERG ndiye mwanamke mwenye tattoo nyingi kuliko wote duniani huku 98.75% ya mwili wake ukiwa umechorwa tattoo.

Charlotte ana miaka 73 na ni raia wa Marekani na anashikilia rekodi hiyo toka mwaka 2017 ( 🖊 Luqman Kisokora )

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form