Kwanini Neti za Rangi ya Kijani huwekwa kufunika majengo yanayojengwa?
1 . Kuzuia mafundi wasiumie wanapodondoka
2 . Kuwalinda wapita njia pale vifaa vya ujenzi vinapoanguka kutoka juu,
3 . Pia neti hizo ni muhimu kutokana na rangi ya kijani kuto akisi na kutonyonya mwanga wa jua kwa kiasi kikubwa hivyo hufanya joto la eneo la ujenzi kuwa la kawaida. [ 🖋️ Luqman kisokora ]
Tags
Je Wajua