Klabu kutoka Tanzania zilizoingia kwenye orodha hiyo ni Tatu ambazo ni SIMBA , YANGA na AZAM . Huku YANGA ikiwa nafasi ya 199 na AZAM imeshika nafasi ya 324 .
Klabu 20 bora duniani mwa mwaka 2022 ni ;
1. Flamengo ya Brazil
2 . Palmeiras ya Brazil
3 . Liverpool FC ya Uingereza
4 . Chelsea FC ya Uingereza
5 . Manchester City ya Uingereza
6 . Real Madrid CF ya Hispania
7 . SL Benfica ya Ureno
8 . FC Porto ya Ureno
9 . RB Leipzig ya Ujerumani
10 . PSV Eindhoven ya Uholanzi
11 . FC Bayern Munich ya Ujerumani
12 . São Paulo FC ya Brazil
13 . CSD Independiente Valle ya Ecuador
14 . Club Athletico Paranaense ya Brazil
15 . Real Betis ya Hispania
16 . Paris Saint-Germain FC ya Ufaransa
17 . Al Ahly SC ya Misri
18 . FC Internazionale Milano ya Italia
19 . Club Olimpia ya Paraguay
20 . FC Barcelona ya Hispania
Chanzo : IFFHS